KUHUSU BUS LA SIMBASC

GARI LA SIMBA SC LINARUDI 

Gari liko Gereji Kwa matengenezo 

 "Hatuwezi kujibu kila kitu cha mtandaoni. Wacha waseme na kuandika wanachojisikia Siku hizi kila mmoja ana uhuru wa kutoa maoni na kusema anachojisikia." 

"Kiufupi tu, watu wanapaswa kujua Bus letu liko matengenezoni na litaonekana hivi karibuni, full stop." Mmoja wa Watu wa Simba aliyekataa kutajwa jina lake.
.
NB: Habari hizi mmezipokeaje wakuu kuhusu gari litarudi likikamilika matengenezo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.