Prisons kuvuna mamilioni wakimfunga simba

Kuelekea mchezo wa Tanzania Prisons ugenini  dhidi ya Simba SC, uongozi wa klabu hiyo umeweka kitita cha Tsh milioni 30 endapo Wajelajela hao wataifunga Simba SC.

Simba SC itachuana na Tanzania Prisons katika dimba la Benjamin Mkapa siku ya Ijumaa Desemba 30, 2022.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.