Tunataka Viongozi wavunje mkataba na azam

"...Kama Viongozi wa Yanga wakibaini Azam FC ndio wanamdanganya Feisal aende kwao basi tunawaomba Viongozi wetu wavunje ule mkataba wetu na Azam halafu na sisi mashabiki wa Yanga hatutanunua bidhaa zozote za Azam"

Wazee wa Yanga na Viongozi wa matawi Yanga


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.