Viwango vya ubora wa soka duniani

Baada ya kumalizika kwa michuano ya Kombe la Dunia na Argentina kuwa bingwa, FIFA imetoa viwango vya soka kwa mataifa mbalimbali Duniani kama ifuatavyo;

1. Brazil 🇧🇷
2. Argentina 🇦🇷
3. Ufaransa 🇫🇷
4. Ubelgiji 🇧🇪
5. England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
6. Netherlands 🇳🇱
7. Croatia 🇭🇷
8. Italia 🇮🇹
9. Ureno 🇵🇹
10. Hispania 🇪🇸



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.