Kajula CEO mpya simbasc

BREAKING NEWS!!

Klabu ya Simba SC 🇹🇿 imetangaza kumwajiri Imani Kajula Kuwa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Klabu ya hiyo Kwa Mkataba wa Miezi sita akichukua Nafasi ya Barbara Gonzalez aliyejiuzulu Mwaka uliopita.

Kajula ni mzoefu kwenye Uongozi wa Mpira Kwani alikuwepo kwenye Kamati ya maandalizi ya Michuano ya Afrika ya Vijana chini y Miaka 17 yaliyofanyika Nchini Tanzania Mwaka 2017.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.