Mtoto wa Christian Ronaldo

Mtoto wa Mchezaji wa timu ya taifa ya Ureno Christian Ronaldo ametajwa kuwa huenda akafuata nyayo za baba yake kwa aina ya maajabu anayo yaonesha katika timu mbali mbali alizopia akiwa na baba yake 

baadhi ya vilabu alivyopita ni pamoja na Manchester unite, Real Madrid na sasa yuko na Baba yake katika klabu ya El Nasry huko Saudi Arabia.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.