Je Morocco wateenda nusu fainali kesho?

Kocha wa mororoco Walid Regragui ameandika Historia ya kuifikisha timu hiyo ya Taifa kama kocha mzawa hatua ya Robo fainali na Sasa anaenda kuandika historia nyingine kama atafanikiwa kuingia nusu fainali kwani Taifa hilo litakuwa la kwanza barani Afrika kuingia katika hatua hiyo.

Mataifa yaliyo wahi kufika robo fainali kutoka Afrika ni pamooja na

1990 - 🇨🇲 Cameroon
2002 - 🇸🇳 Senegal
2010 - 🇬🇭 Ghana
2022 - 🇲🇦 Morocco

Hivyo mchezo wa kesho ni Muhimu kwa waafrika na Taifa Hilo kwa ujumla Kila Lakheri Simba wa mlima wa Atlasi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.