Pele afariki Dunia

Legend wa Brazil Edson Arantes do Nascimento Pele amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 82 Sao Paulo Brazil baada ya kusumbuliwa na kansa kwa muda mrefu.

Pele anayetajwa kama miongoni mwa Wachezaji wa soka wa kipekee kuwahi kutokea Duniani amewahi kutwaa Kombe la Dunia mara tatu akiwa na Timu ya Taifa ya Brazil.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.