Ronaldo CR7 atimkia Saudi Arabia

Baada ya kukamilisha uhamisho kujiunga na miamba ya Saudi Arabia, Al Nassr FC, Cristiano Ronaldo atalipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko mchezaji yeyote kwenye historia ya soka. 💰💸🇸🇦

• €200M/mwaka
• €16.67M/mwezi
• €3.888M/wiki
• €555,555/siku
• €23,150/saa
• €386/ dakika
• €6.5/(Tsh 16 000)sekunde

Katika mkataba wake wa miaka miwili na nusu Ronaldo atakuwa anaingiza kiasi cha takribani Tsh ELFU 16 kwa kila sekunde (nukta).

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.