JEAN BALEKE ATUA SIMBA SC

JEAN BALEKE ATUA SIMBA SC KWA MKOPO.

RASMI: Klabu ya Tp Mazembe muda huu imethibisha kuwa imefikia makubaliano na klabu ya Simba SC kumtoa kwa MKOPO wa mwaka (1) mshambuliaji wao, Jean Baleke (21) kukiwa na kipengele cha kumnunua,

Klabu hiyo ya imeeleza kuwa Mkataba baina yao na Baleke unaisha May 30/2026,

PROFILE YAKE
_Jina kamili anaitwa Jean Toria Baleke Othor (21), ni raia wa Dr Congo 🇨🇩. Ana urefu wa futi 5.6, anacheza nafasi ya ushambuliaji.

Mpaka sasa kwenye career yake amecheza katika klabu tatu kama ifuatavyo ;

2022 - 23 - (Mkopo) Simba SC 🇹🇿
2022 - 23 - (Mkopo) Nejmeh SC 🇱🇧
2021 - 23 - Tp Mazembe 🇨🇩
2020 - ?? - JS Kinshasa

Msimu huu akiwa katika klabu ya Nejmeh ya Nchini Lebanon 🇱🇧
Dakika alizocheza 619
Michezo 11
Magoli 3

Msimu huu aliporejea katika klabu yake ya Tp Mazembe ya Dr Congo 🇨🇩
Dakika alizocheza 196
Michezo 5
Goals 0

Msimu wa 2021/22 ndio msimu wake bora wa mafanikio kwani alifunga mabao (14) akiwa katika klabu ya Tp Mazembe

January 2021 alisajiliwa na Tp Mazembe akitokea kwenye timu iliyomkuza ya JS Kinshasa akiwa bado kinda.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.