Simbasc yapoteza Uarabuni

Klabu ya Simbasc imepoteza Mchezo wa kirafiki uliofanyika Leo mbele ya wenyeji wao Al Dhafra Fc katika Mji wa Abu Dhabi huko Falme za kiarabu

Simbasc imefungwa Moja bila Leo na January 15 2023 itacheza mchezo mwingine dhidi ya CSKA MOSCOW ya Urusi katika Mji huo 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.