NIMEWEKEZA SIMBA SC BILIONI 50, NILIWAPA SIMBA SC BILIONI 1.5 YA USAJILI.


NIMEWEKEZA SIMBA SC BILIONI 50, NILIWAPA SIMBA SC BILIONI 1.5 YA USAJILI.

 “Mwaka jana niliwapa Simba bilioni 1.5 ya usajili, lakini lazima tuelewe Wanasimba na Wanamichezo waelewe kila mtu ana fan yake, mimi ni mfanyabiashara sio scout, tunawataalamu ndani ya Simba ambao wao wakihitaji pesa mimi huwa nawapa hizo pesa.,” 

“Lakini makosa yametokea, nasikia mambo kama hayo yapo lakini Mm sina evidence,” 

“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia.

“Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana ni Bil. 20 lakini tukifanya mahesabu imefika labda Bil. 50 ambazo nimewekeza, kama nngependa raha au kitu kingine Bil 50 ningenunua hata ndege,” 

Mwekezaji na Rais wa Heshima wa Simba Sc, Mohammed Dewji.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.