FEI TOTO BADO PASUA KICHWA YANGASC

Kupitia ukurasa wa mtandao wa kijamii nyota huyo ameandika Maneno haya hapo chini.

“Alhamdulillah nimefika salama tayari kwa kuanza majukumu yangu mapya” ——— kaandika Feisal na kuweka nukuu hii ——— > “na walipo kupangia mpango walio kufuru wakufunge, au wakuuwe, au wakutoe. Wakapanga mipango yao, na Mwenyezi Mungu akapanga yake. Na Mwenyezi Mungu ndiye mbora wa mipango” Surah Al Anfal aya 30”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.