Manara na Shafii Dauda waibukia CCM


Aliyewahi kuwa msemaji wa Simbasc na badaye kuwa msemaji wa Yangasc kabla ya kufungiwa na TFF Haji Manara pamoja na Mchambuzi Nguli wa soka hapa nchini Shafii Dauda wameibuka kuomba nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri kuu taifa NEC viti 20 upande wa Tanzania bara.

Hata hivyo wapo wagombea wengi wanaomba nafasi hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.